Вижте тази публикация в Instagram.

Mchezaji Lebron James (@kingjames) akionekana kushindwa kuvumilia taarifa za kifo cha rafiki yake @kobebryant wakati akishuka uwanja wa ndege na timu yake ya #LosAngelesLakers. Kama ulikuwa hufahamu, alfajiri ya Jumapili, Lebron James alimpiku #KobeBryant katika nafasi ya tatu ya wafungaji bora wa muda wote wa #NBA. Na bandiko la mwisho kwenye mitandao ya kijamii ya Kobe Bryant lilikuwa linalompongeza Lebron kwa mafanikio haya. #RIPKobeBryant #RiPblackMamba #kobebryant

Публикация, споделена от UPDATES ???? (@ubaoni.updates) на